Mondadori Store

Trova Mondadori Store

Benvenuto
Accedi o registrati

lista preferiti

Per utilizzare la funzione prodotti desiderati devi accedere o registrarti

Vai al carrello
 prodotti nel carrello

Totale  articoli

0,00 € IVA Inclusa

Hisia ya Hatia Ichomayo

Inger Gammelgaard Madsen
pubblicato da Saga Egmont International

Prezzo online:
0,00

Johan Boje, msaidizi wa polisi wa Eneo la Kati na Magharibi mwa Jutland anafariki baada ya kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa kwa kasi akiwa nje ya nyumbani kwake usiku mmoja wa manane mwezi Machi. Bosi wake, Alex Borg, ni mmoja wa watu wa kwanza kufika kwenye eneo la tukio. Kwa haraka anagundua kuwa hii si ajali ya kawaida ya kugongwa na gari na kisha mtuhumiwa kuhepa, lakini ni mauaji ya kikatili. Mwanake Boje mwenye umri wa miaka tisa anadai kuwa aliliona gari hilo, na kwamba lilikuwa linaendeshwa na afisa wa polisi. Je, ni fikra za kijana huyo mwenye mfadhaiko zinamchezea shere? Kamera ya uchunguzi ya kituo cha mafuta inathibitisha masimulizi ya mtoto mtu fulani aliyekuwa amevalia sare za polisi alikuwa anaendesha gari hilo wakati wa usiku huo wa ajali ya mauti. Roland Benito, mpelelezi katika Mamlaka ya Malalamishi ya Polisi, anapewa usukani wa kuendesha kesi. Ni nani kati ya marafiki wa Johan Boje alikuwa na nia ya kutenda maovu kama hayo? Rolando Benito anaungana na Anne Larsen, mwanahabari kutoka kituo cha televisheni cha TV2 East Jutland. Wanafuatilia alama za magurudumu hadi kwenye moto, ambao ulikuwa na hasara kubwa kwa familia ya eneo hilo. Labda moto huo haukuwa ajali? Anne na Rolando wanakisia kuwa huenda nia ikawa ni tofauti sana na kile walichotarajia mwanzoni. Msako wa kumtafuta mhalifu huyo unaanza kabla hajafanya shambulizi lingine.

Dettagli down

Generi Gialli Noir e Avventura » Gialli, mistery e noir , Romanzi e Letterature » Gialli, mistery e noir » Romanzi contemporanei

Editore Saga Egmont International

Formato Ebook con Adobe DRM

Pubblicato 08/10/2019

Lingua Swahili

EAN-13 9788726283563

0 recensioni dei lettori  media voto 0  su  5

Scrivi una recensione per "Hisia ya Hatia Ichomayo"

Hisia ya Hatia Ichomayo
 

Accedi o Registrati  per aggiungere una recensione

usa questo box per dare una valutazione all'articolo: leggi le linee guida
torna su Torna in cima