Mimi sikuogopa cha baba wala msukule nilivunja chumba cha kwaza nikakutaa wafanyakazi watano wa Baba waliokuwa wamekufa miaka ya nyuma wakiwa wamejikunyata kwenye kona,niliogopa kidogo na niliendelea kuvunja chumba 2 na sasa huko niwakuta wado go zangu wakila pumba na walikuwa na nywele za kichwani nyingi sana..niliia sana na kwa uchungu ilikuta naenda kuwakumbatia wadogo zangu kuaanzia ndogo wangu aliyekufa wa kwaza kipindi kile tulipokuwa na maisha magumu sana..