Mbweha mwekundu na Nungunungu.Siku moja, Mbweha mwekundu alikuwa anatembea na rafiki yake,Nungunungu. Mbweha mwekundu alikuwa anajiigamba. Alisema, "Mimi ni mtu mwenye hekima. Lakini, wewe huna hekima." The Fox And The Hedgehog. Swahili books for kids, children's books in Swahili.