Mondadori Store

Trova Mondadori Store

Benvenuto
Accedi o registrati

lista preferiti

Per utilizzare la funzione prodotti desiderati devi accedere o registrarti

Vai al carrello
 prodotti nel carrello

Totale  articoli

0,00 € IVA Inclusa

Najisikia Kuua Tena

R. Mtobwa
pubblicato da East African Educational Publishers

Prezzo online:
14,13
16,64
-15 %
16,64

...Inspekta, najisikia kuua tena... inadai sauti katika sim ambayo imo mikononi mwa shupavu wa polisi. Hii ikiwa simu ya pili, baada ya ile ya awali ambayo ilifuatwa na kifo cha mwandishi maarufu, inamtia Inspekta hasira kali, nusu ya wazimu. Anafanya yote awezayo kufanya ili amtie mwuaju huyu mikononi mwa sheria...hapatikani...Ndipo anajitokeza Joram Kiango. Mbinu zake za pekee, pamoja na kutokwa jasho jingi, kunamwezesha kugundua mengi amabyo yanaitisha dunia na kuitetemesha nchi nzima. lakini kila hatua anayoipiga katika upelelezi wake inamsongeza karibu zaidi na kinywa cha mauti chenye kiu ya damu yake, kilicho wazi kikimsubiri kwa hamu...

Dettagli down

Generi Gialli Noir e Avventura » Gialli, mistery e noir , Romanzi e Letterature » Gialli, mistery e noir

Editore East African Educational Publishers

Formato Ebook con Adobe DRM

Pubblicato 09/04/1984

Lingua Swahili

EAN-13 9789966565976

0 recensioni dei lettori  media voto 0  su  5

Scrivi una recensione per "Najisikia Kuua Tena"

Najisikia Kuua Tena
 

Accedi o Registrati  per aggiungere una recensione

usa questo box per dare una valutazione all'articolo: leggi le linee guida
torna su Torna in cima