Mondadori Store

Trova Mondadori Store

Benvenuto
Accedi o registrati

lista preferiti

Per utilizzare la funzione prodotti desiderati devi accedere o registrarti

Vai al carrello
 prodotti nel carrello

Totale  articoli

0,00 € IVA Inclusa

Kitabu hiki cha "Nguvu Ya Ukiri" kimegawanyika katika sehemu mbili kuu: Sehemu ya kwanza, ambayo inalenga kujenga na kuimarisha imani yako kwa kukupatia ufahamu sahihi kuhusu ukiri na jinsi ambavyo unatenda kazi. Na sehemu ya pili, inaundwa na kiri mbali mbali ambazo zimetengenezwa maksusi ili kubadilisha maisha yako milele! Kiri hizo ni mwanzo tu wa kukufundisha na kukusaidia ili uweze kubadilisha ukiri wako na hivyo kuruhusu uzima, baraka na mema aliokusudia Mungu kutenda kazi katika maisha yako. Baada ya wewe kupata uzoefu na kuonja matunda ya ukiri sahihi, ninaamini utaweza kutengeneza kiri zako mwenyewe za kuongezea sawasawa na vile ambavyo umekusudia kuumba ulimwengu wako ukishiriana na Ufalme wa Mungu.

Dettagli down

Generi Religioni e Spiritualità » Bibbia: testi e commenti » Storia delle religioni , Psicologia e Filosofia » Filosofia: Opere divulgative e generali

Editore Huruma Mathew Gadi

Formato Ebook con Adobe DRM

Pubblicato 30/08/2023

Lingua Inglese

EAN-13 1230006802028

0 recensioni dei lettori  media voto 0  su  5

Scrivi una recensione per "Nguvu Ya Ukiri"

Nguvu Ya Ukiri
 

Accedi o Registrati  per aggiungere una recensione

usa questo box per dare una valutazione all'articolo: leggi le linee guida
torna su Torna in cima