Mondadori Store

Trova Mondadori Store

Benvenuto
Accedi o registrati

lista preferiti

Per utilizzare la funzione prodotti desiderati devi accedere o registrarti

Vai al carrello
 prodotti nel carrello

Totale  articoli

0,00 € IVA Inclusa

Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Andrea Hansen
pubblicato da Saga Egmont International

Prezzo online:
0,00

"Nilihamia Barcelona hivi karibuni, na simjui mtu yeyote zaidi ya wafanyakazi wenzangu katika kituo changu kipya cha kazi. Wao ndio ambao waliniambia kuhusu bwawa la umma. Katika moja ya mabwawa, mwanaume mmoja alikuwa akitambaa kwa mbele. Nikajirusha kwenye maji kisha nikafumbua macho. Mwanaume mkakamavu na mwenye nguvu. Matako yake yalikaza pale miguu yake ilipokuwa inaingia kwenye maji. Nikakiweka kichwa changu juu ya maji tena, na kushika pembe ya bwawa kwa mkono mmoja. Pale mwanamme alipokuwa anasogea mbali yangu, nikairuhusu mkono wangu uende katikati ya miguu yangu. Wakati wa mzunguko wake wa kwanza, mimi nikafikicha nje ya kitambaa. Aliporudi mbali na mimi kwa mara ya pili, nikaiterezesha mikono yangu chini ya kitambaa. Mwili wangu ukahisi joto. Mijongeo yangu ikaongeza kasi. Mashavu yangu yakabubujika, na kama vile ninataka kujipoteza mwenyewe kwenye shughuli yangu, ghafla akasimama. Akaangalia moja kwa moja kwangu kutoka upande mwingine wa bwawa. Mkono wangu uliganda katikati ya miguu yangu. Je, aliona kile nilichokuwa nakifanya? " Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na mtunzi wa Kiswidi Erika Lust. Nia yake ni kuelezea asili ya binadamu na utofauti kwa kutumia hadithi za shauku, urafiki, tamaa na mapenzi katika kuunganisha hadithi zenye nguvu na sanaa inayochochea ashiki.

Dettagli down

Generi Passione e Sentimenti » Letteratura erotica , Romanzi e Letterature » Erotica » Romanzi contemporanei

Editore Saga Egmont International

Formato Ebook con Adobe DRM

Pubblicato 11/09/2019

Lingua Swahili

EAN-13 9788726270761

0 recensioni dei lettori  media voto 0  su  5

Scrivi una recensione per "Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi"

Rafiki Mpya - Hadithi Fupi ya Mapenzi
 

Accedi o Registrati  per aggiungere una recensione

usa questo box per dare una valutazione all'articolo: leggi le linee guida
torna su Torna in cima