RapunzelHapo zamani za kale, kulikuwa na mwanaume na bibi yake. Bibi huyo alikuwa mja mzito. Walikuwa wanatembea pamoja, na bibi akasema, "Naona mti wa tunda, na nahisi njaa." Kwa hivyo, mtu huyo alimletea baadhi ya matunda hayo. Akampa bibi yake.Usiku huo, mwanaume huyo alienda kwa mti huo tena. Ghafula, Mchawi akatokea! "Mwizi," akasema. "Huo ni mti wangu!" Mtu huyo akasema,