Safari za GulliverHapa zamani za kale, kulikuwa na mwanamaji aliyeitwa Gulliver. Siku moja, alianza safari. Ghafula, kulikuwa na dhoruba kubwa. Merikebu ya Gulliver ilianza kuzama! Gulliver aliruka nje ya merikebu, na akaogelea kwa kisiwa. Alipofika ufukoni,alikuwa amechoka. Alilala kwa mchanga. Gulliver's Adventures Swahili books for kids, children's books in Swahili