Mondadori Store

Trova Mondadori Store

Benvenuto
Accedi o registrati

lista preferiti

Per utilizzare la funzione prodotti desiderati devi accedere o registrarti

Vai al carrello
 prodotti nel carrello

Totale  articoli

0,00 € IVA Inclusa

Sheria 10 Za Ushawishi

Erick Mbeleka
pubblicato da Erick Mbeleka

Prezzo online:
0,00

Moja ya ujuzi mkubwa unaotakiwa kuwa nao ni nguvu ya ushawishi kwa sababu chochote unachokitaka katika Maisha yako kinapatikana kwa watu na njia rahisi ili upate unahitaji uwezo wa kuwashawishi ili wakupe.Mungu ameweka mambo mengi unayoyaomba kwa Watu jambo usilolijua endapo utaacha kujifunza kuweza kushawishi watu wakupe unachotaka au kutamani utakuwa mtu wa kulalamika kwanini kuna mambo Upati,kwanini kuna vitu hupati na wanaopata mna sifa sawa au umewazidi.

Nimeshuhudia kuna watu wanasema wana mikosi, kuna wengine wanasema hawana bahati na asilimia kubwa siyo kwamba hawajafanikiwa ila hawastahili kuwa na kiwango hiko cha mafanikio. Watu hawa endapo wakiwa tu na nguvu ya ushawishi wanaoweza kufanikiwa zaidi .

Ukweli ni kwamba USIPOJUA KUSHAWISHI WATU WAKUPE VITU BASI UWEZI PATA CHOCHOTE KUTOKA KWA WATU,

Baada ya miaka mingi ya kuwa mwandishi na mkufunzi niligundua sheria 10 za ushawishi ambazo zinaweza kutumiwa na mtu yoyote kupata chochote anachotamani kutoka kwa WATU

Inawezekana siyo kwamba hauna wateja, Ila hujui kushawishi wateja

Inawezekana siyo kwamba hakuna kazi, ila ujui kushawishi watu wakupe kazi

Inawezekana siyo kwamba hakuna kabisa watu w kukusaidia ila ujui namna gani ya kushawishi watu wakusaidie

Tatizo siyo mtaji, Tatizo unashindwa kushawishi watu wakupe mtaji.

Katika kitabu changu cha Hatua nimefundisha jinsi watu wanavyoweza kufanyika Muujiza Katika maisha yako, katika kitabu hiki nitakufundisha sheria 10 zitakazo ongeza ushawishi wako na kufanya watu wakupe chochote unachokitaka

Watu ndo mtaji wa kwanza ili uweze kupiga hatua katika maisha yako ili uweze kutoka hapo ulipo. Sijui kwa sasa una hali gani katika uchumi, katika afya,kwenye Maisha yako ya kila siku lakini kupitia kitabu hiki utaenda kupata chochote ulichokuwa unakitamani kutoka kwa watu kwa urahisi sana.

Unaposoma kitabu hiki utajifunza sheria nyingi zitakazo kufanya kuwa wa tofauti na nyuma kabisa na utakuwa imara Zaidi katika ushawishi

"Mungu akuongoze katika usomaji wa kitabu hiki"

Mwandishi/Mkufunzi&Mwamasishaji.

ERICK EBELHARD MBELEKA

Dettagli down

Generi Salute Benessere Self Help » Self Help , Economia Diritto e Lavoro » Lavoro » Carriere e professioni: consigli

Editore Erick Mbeleka

Formato Ebook (senza DRM)

Pubblicato 20/09/2022

Lingua Swahili

EAN-13 9798215291153

0 recensioni dei lettori  media voto 0  su  5

Scrivi una recensione per "Sheria 10 Za Ushawishi"

Sheria 10 Za Ushawishi
 

Accedi o Registrati  per aggiungere una recensione

usa questo box per dare una valutazione all'articolo: leggi le linee guida
torna su Torna in cima